Jinsi Unavyoweza Kuiunga Mkono Redio Uhai Ukiwa Tanzania


Redio Uhai ni radio ya Kikristo inayopatikana katika mji wa Tabora, Tanzania. Unaweza kuisikiliza katika masafa ya 94.1
Unaweza kutuma mchango wako kwa redio Uhai kupitia simu yako katika namba zifuatazo:-

Airtel Money +255-688-415-651
M-pesa +255-743-759-692
Kama uko nje ya Tanzania na ungependa kuichangia redio uhai, unaweza kutuma mchango kwa njia ya Western Union or Money Gram kupitia namba ya Vodacom +255-743-759-692
Kama uko nchini Tanzania unaweza kutuma hundi ya mchango wako katika anuani ifuatayo nasi tutaipokea
Redio Uhai FM Station
P.O.Box 691
Tabora, Tanzania
East – Africa

Kama unataka kupata maelekezo ya namna ya kutuma hela kwa njia ya aitel, moneygram au M-pesa tafadhari soma maelekezo katika tovuti zifuatazo:-
http://africa.airtel.com/wps/wcm/connect/africarevamp/Tanzania/
http://www.moneygram.com/us/en/send-money-to-a-mobile-wallet
http://global.moneygram.com/tz/en/m-pesa
http://www.moneygram.com/us/en/how-to-send-money-internationally
http://moneygram.co.uk/send-money-to-a-mobile-wallet


© Radio Uhai