Radio Uhai ni ni Radio ya Kikristo inayopatikana Manispaa ya Tabora.

Unaweza kuisikiliza katika masafa ya 94.1 MHz FM

Kama unataka kutuma mchango wako kwa njia ya namba za mkononi, tafadhari tuma mchango wako katika number zifuatazo

Kwa njia ya Airtel Money +255-688-415-651

Kwa njia ya M-Pesa +255-743-759-692

Kama uko nje ya nchi ya Tanzania na unataka kuchangia, unaweza kutuma mchango wako kwa njia ya Western Union au Money Gram kupitia namba ya Vodacom +255-743-759-692

Kama upo ndani Tanzania,unaweza kutuma hundi(check) au hundi ya mtoa pesa wa benki (cashier's check) kutoka benki ya Tanzania.Nchini Tanzania huwa hawakubali hundi,utaratibu wa malipo ya kabla(money orders)au hundi ya mtoa pesa wa benki(cashier's check)kutoka benki za nje ya Tanzania.Kwasasa paypal haipatikani.

Anuani yetu ni

Radio Uhai FM Station

S.L.P. 691

Tabora, Tanzania

East – Africa


© 2017 Radio Uhai