VIPINDI VYA KUANZIA (PDF)

JUMATATU - IJUMAA     JUMAMOSI     JUMAPILI

Na.

Siku/Muda

Jina La Kipindi

Maudhui

Walengwa

Mategemeo/Mafanikio

1.        

ASUBUHI

Jumatatu-Jimapili Saa 11:00- Saa 1:00 Asbh

Pambazuko la Uhai

 

Kuamshana kwa njia ya ujumbe mfupi wa Maandishi Pamoja na kuanza siku kwa kumtukuza Mungu

 

Wasikilizaji Wote

 

Kujenga Mahusiano ya Undugu

 

2.        

Jumatatu-Ijumaa

Saa 1:00- 3:00 Asbh

Meza ya wachungaji

 

Kupata ufafanuzi na maarifa Zaidi kuhusu mada husika na mijadala mbalimbali

 

Wasikilizaji Wote

 

Kujenga uelewa wa kutosha kuhusu mambo ya kiroho

3.        

Jumatatu-Ijumaa

Saa 3:00 Asbh-Saa 7:00 Mchn

Fungasho la Uhai

 

Kuvumbua kero za mitaani,kujenga mahusiano kwa jamii na watoto,na kupata burudani pamoja na Msikilizaji kufahamu aina za mapishi kisha kukaribishana mezani na kutakiana mlo mwema

 

Watoto na Wasikilizaji Wote

Kuelimisha watoto lugha ya kingereza na kupata ufumbuzi wa changamoto za kero zinazojitokeza katika baadhi ya maeneo, Kuielimisha jamii namna bora ya kupika chakula kwa kuzingatia kanuni za afya

4.     

Jumatatu-Jumapili

Saa7:00 - Saa 2:00 mch

Taarifa ya Habari

Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za ulimwengu

Wasikilizaji wote

Kumtaarifu Msikilizaji kuhusu Taarifa mbali mbali zilizotokea Duniani

5.     

Jumatatu-Ijumaa

8:00 - 10:00 jioni

Mdundo Injili

 

Kuburudisha na kutoa habari mbalimbali zinazowahusu waimbaji wa gospel na kazi zao, kupitia muziki wa INJILI

Vijana na Wasikilzaji wengine wote

Kuburudisha

6.     

Jumatatu-Ijumaa

Saa 10:00 - 10:15Jioni

Taarifa ya Habari

Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za kitaifa na kimataifa

Wasikilizaji Wote

Kuhabarisha

7.     

Jumatatu-Ijumaa

Saa 10:15 - 12:00 jioni

Jarida la Radio Uhai

Kipindi maalumu kuelezea maendeleo ya kanisa na habari za kikristo,na kujadili masuala mbalimbali ya kijamii.

Wasikilizaji Wote

Kuhabarishana na Kuelimishana

8.     

Jumatatu-Ijumaa

Saa12:00 - 1:00 jioni

Taarifa ya Habari

Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za ulimwengu

Wasikilizaji wote

Kumtaarifu Msikilizaji kuhusu Taarifa mbali mbali zilizotokea Duniani.

9.     

Jumatatu-Ijumaa

Saa 1:00 - 8:00 usiku

Idhaa ya Kiswahili kutoka Transword radio Kenya

Kuelimisha Kuhusu mafundisho ya kiroho

Wasikilizaji Wote

Kueneza injili kupitia shuhuda za kweli

10.  

Jumatatu-Jumamosi

Saa 2:00 - 2:15 usiku

Taarifa ya Habari

 

Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za kitaifa na kimataifa

Wasikilizaji Wote

Kumtaarifu Msikilizaji kuhusu Taarifa mbali mbali zilizotokea Duniani Na Tanzania kwa ujumla

11.  

Jumatatu-Jumapili

Saa 2:15 - 3:00

Uhai Michezo

Kuhabarisha kuhusu michezo na burudani mbalimbali duniani kote

Wasikilizaji Wote

Kuhabarishana habari za michezo

12.  

Jumatatu-Jumamosi

3:00 -3;30 usiku

Sauti ya Tumaini

Kuelimisha Kuhusu mafundisho ya kiroho

Wakristo wote na jamii inayopenda kusikiliza

Kuelimisha na kuwakumbusha wakristo kuhusu njia ya Mungu

13.  

Jumatatu - ijumaa

03:30 - 4:00 usiku

Muda Huru

Kuburudisha

Kuburudisha

Kuburudisha

14.  

Jumatatu-Jumamosi

Saa4:000-Saa5:00Usiku

Bustani ya Hekima

Kutafakari Neno la Mungu na kupata maneno ya kutiwa moyo

Wasikilizaji Wote

Kutafakari Neno la Mungu

15.  

Jumatatu-Jumapili

Saa5:20 - 6:00 usiku

Usiku wa shukrani na Sifa

Kupokea simu za wasikilizaji wakimshukuru Mungu na Burudani za Nyimbo za Injili za Taratibu

Wasikilizaji Wote

Kumshukuru Mungu

 

JUMAMOSI     JUMAPILI     JUMATATU - IJUMAA

Na.

Siku/Muda

Jina La Kipindi

Maudhui

Walengwa

Mategemeo/Mafanikio

1.        

ASUBUHI

Saa 11:00- Saa 1:00 Asbh

Pambazuko la Uhai

 

Kuamshana kwa njia ya ujumbe mfupi sms Pamoja na kuanza siku kwa kumtukuza Mungu.

Wasikilizaji Wote

 

Kujenga Mahusiano ya Undugu.

 

2.        

Jumamosi

Saa 1:00 - 3:00 Asubuhi

Matukio ya Wiki

Kupata taarifa za habari na matukio makubwa yaliyojiri ulimwenguni kwa juma zima.

Wasikilizaji wote

Kuhabarisha.

3.        

Jumamosi

Saa 3:00 -4:00 Asbh

Uhai na Watoto

Kipindi kinachowapa fursa watoto kuweza kushiriki kwa pamoja na kupata
elimu, burudani na mambo mengine yanayowahusu watoto.

Watoto

Kwawezesha watoto kujifunza hesabu na kuwasidia kujua lugha ya kingereza.

4.     

Jumamosi

Saa4:00 -5:00 usiku

Mtaalamu wetu.

Kuwasaidia wasikilizaji kujua maswala mbali mbali yanayohusu afya na taaluma mbalimbali.

Wasikilizaji Wote

Kutoa maarifa mapya.

5.     

Jumamosi

Saa 5:00 - 6:00Mchana

Biblia Yasema

Fursa kwa wasikilizaji kupata majibu ya maswali magumu ya biblia pia kuuliza chochote kuhusu biblia

Wakristo wote

Elimu ya Biblia

6.     

Jumamosi

Saa6:00- 7:00Mchana

Mchana Mwema

Kufundisha maswala ya mapishi na unadhifu na kupata burudani ya taratibu.

Wasikilizaji Wote

Kuburudisha

7.     

Jumamosi

Saa 7:00 - 2:00Mchana

Taarifa ya Habari

Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za ulimwengu na kusikiliza makala mbali mbali za kikristo na za kujengana kiroho.

Wasikilizaji Wote

Kumtaarifu Msikilizaji kuhusu Taarifa mbali mbali zilizotokea Duniani.

8.     

Jumamosi

8:00 - 9:00

Amka Mwanamke

Kipindi kinachogusa maswala yanayohusu wanawake kuangazia changamoto mbali mbali zinazowakabili na jinsi ya kuinuka kiuchumi

Wanawake

Elimu ya Uchumi na ujasiliamali

9.     

Jumamosi

Saa 9:00Mchana 11:00Jioni

20 za injili

Kusikia nyimbo zilizofanya vizuri kwa juma/mwezi mzima kupitia RU fm

Wasikilizaji Wote

Kuburudisha

10.  

Jumamosi

Saa11:00 - 11:30 jioni

Nguvu kazi

Kipindi kinachogusa masuala ya vijana,changamoto zao na njia za kuinuka kiuchumi

Vijana

Elimu ya biashara uchumi na ujasiliamali

11.  

Jumamosi

11:30- 12:00 jioni

Changamsha Bongo

Kutoa fursa kwa wasikilizaji kujibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwenye biblia,michezo siasa na masuala ya jamii.

Wasikilizaji Wote

Kuelimisha.

12.  

Jumamosi

Saa12:00 - 1:00 jioni

Asili Tanzania

Kuangalia Tamaduni za asili za makabila mbali mbali Na kukuza utalii wa ndani.

Wasikilizaji Wote

Kukuza utalii wa ndani

13.  

Jumamosi

Saa1:00-2:00usiku

Idhaa ya Kiswahili kutoka Trans Word Radio Kenya

Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za ulimwengu na kusikiliza makala mbali mbali za kikristo na za kujengana kiroho.

Waskilizaji wote

Kuelimisha na kuwakumbusha wakristo kuhusu njia ya Mungu.

14.  

Jumamosi

Saa2:00-2:15

Taarifa ya Habari

Msikilizaji kujuzwa habari mbali mbali za kitaifa na kimataifa.

Wasikilizaji wote

Kumtaarifu Msikilizaji kuhusu Taarifa mbali mbali zilizotokea Duniani Nsa Tanzania kwa ujumla.

15.  

Jumamosi

Saa 2:15 - Saa 3:00Usiku

Uhai Michezo

Kuhabarisha kuhusu michezo na burudani mbalimbali duniani kote

Wasikilizaji wote

Kuhabarishana habari za michezo

16.  

Jumamosi

Saa3:00- 3:30Usiku

Sauti ya Tumaini

Kuelimisha Kuhusu mafundisho ya kiroho

Wasikilizaji wote

Kuelimisha na kuwakumbusha wakristo kuhusu njia ya Mungu.

17.  

Jumamosi

Saa4:30 - 5:00Usiku

Muda Huru

Kuburudisha

Wasikilizaji wote

Burudani

18.  

Jumamosi

Saa5:00Usiku-Saa6:00Usiku

Wasaa wa Shukrani

Kupokea simu za wasikilizaji wakimshukuru Mungu na Burudani za Nyimbo za Injili za Taratibu.

Wasikilizaji wote.

Kumshukuru Mungu.

 

JUMAPILI     JUMATATU - IJUMAA     JUMAMOSI

Na.

Siku/Muda

Jina La Kipindi

Maudhui

Walengwa

Mategemeo/Mafanikio

1.        

Jumapili

Saa1:00Asbh-Saa3:00Asbh

Jumapili maalum

 

Burudani ya jumapili asubuhi pamoja na kuhimizana kuwahi ibadani

Wakristo na wasikilizaji wote

Burudani na Mafundisho

2.        

Jumapili

Saa3:00Asbh-Saa7:00Mchn

Kutoka Madhabahuni

Kurusha Ibada moja kwa moja kutoka kanisani

Wakristo wote

Mafundisho ya kiroho ibadani

3.        

Jumapili

Saa7:15Mchn-Saa8:00Mchn

Taarifa ya Habari

Kusikiliza habari na Makala mbalimbali na kumuhabarisha msikilizaji yaliyotokea duniani

Wasikilizaji wote

Kuhabarisha

4.     

Jumapili

Saa8:00Mchn-Saa9:00Alsr

Tabora Nyimbo za Injili

Kutoa fursa kwa waimbaji wa Tabora tu kuchezewa nyimbo na kufanyiwa mahojiano

Wasikilizaji wote

Kuburudisha

5.     

Jumapili

Saa9:00Alsr-10jioni

Michezo ya wiki

Kupata yote yaliyojiri katika michezo kwa juma zima

Wasikilizaji wote

Kuhabarisha Habari za Michezo

6.     

Jumapili

Saa10:00Jioni-Saa11:00Jioni

Zilizorindima

Kusikia nyimbo zilizofanya vizuri miaka ya zamani pamoja na historia mbalimbali za nyimbo za kale

Wasikilizaji wote

Burudani

7.     

Jumapili

Saa11:00-Saa12:00Jioni

Chaguo Lako

Kutoa fursa kwa wasikilizaji kuchagua nyimbo wazipendazo na kutumiana salamu

Wasikilizaji wote

Burudani

8.     

Jumapili

Saa12Jioni-Saa1:00Jioni

Ripoti Huru ya Wiki

Kusikia mkusanyiko wa habari na matukio ya juma zima

Wasikilizaji wote

Kuhabarisha

9.     

Jumapili

Saa1:00Jioni-Saa2:00Usiku

Ushuhuda

Kusikia shuhuda za kweli za watu mbalimbali waliopitia/wanaopitia changamoto

Wasikilizaji wote

Kutia moyo na kuwajenga watu kiimani

10.  

Jumapili

Saa2:00Usiku-Saa3:00Usiku

Staarabika

Kutoa na kupata suruhisho la kero mbalimbali katika jamii

Wasikilizaji wote

Kuonya na kufundisha

11.  

Jumapili

Saa3:00Usiku-Saa4:00Usiku

Meza ya Wachungaji

Kufundisha maswala mbalimbali yanayohusu jamii ya kikristo na kuonya matendo mabaya

Wakristo na wasikilizaji wote

Mafundisho ya kiimani

12.  

Jumapili

Saa4:20-Saa5:00Usiku

Bustani ya Hekima

Kutafakari Neno la Mungu na kupata maneno ya kutiwa moyo

Wasikilizaji wote

Kutafakari Neno la Mungu

13.  

Jumapili

Saa5:00Usiku-Saa6:00Usiku

Wasaa wa Shukrani

Kupokea simu za wasikilizaji wakimshukuru Mungu na Burudani za Nyimbo za Injili za Taratibu

Wasikilizaji wote

Kumshukuru Mungu

 


© 2017 Radio Uhai